HOT BLAZING (Pan African Music Distributors)

Incase Of Love_Vertuoso Ke Lyrics

Recent in Trending

Best Seller Books

Incase Of Love_Vertuoso Ke Lyrics

Incase Of Love

Yeeeye!
Mmmmhh mh,
Nilokuoona janaah
Nikaweka imaniii...
Kwamba ipo siku mbeleni
Nitatoka na weweh

Najua pia weeweeh
Usha fall! Usha fall,

Weeeweeeh usha fall unashindwa 
Kusemaaah

*CHORUS*

Mmh incase of love
(You don't shy)²
Just talk to me
{(You don't shy)³
Just talk to me}²

*VERSE*

Hata salamu sikuombi weewe!
Sikuombiiih...
Na kama kuna haja,uniambie 
Uniambie...
Na kama una mtu wakoo
Yeee eeh 
Ila ukipata nafasii
Ukinipa mi sita kataa..

Mwenzako napata taabu!
Mawazooo ooh...
Kukuwaza wee-eh
Kila sikuu vikwazo

*CHORUS*

Mmh incase of love
(You don't shy)²
Just talk to me
{(You don't shy)³
Just talk to me}²

*VERSE*

Amaaa 'meniendea kwa waganga!
Maanaa?
Mi kwaako nimeganda...
Nina Mafua mina pona 
Nisipo kuona Mina homa...
Gi' me love bebi rausha my soul,
Nibaki nawe nisifu mileele..
Mapenzi unize kwa rooho,
Na uchizi 
Unipaande

Mwenzio nipe roho...
Nipe roho...roho mpaka raga...

Nilokuoona janaah
Nikaweka imaniii...
Kwamba ipo siku mbeleni
Nitatoka na weweh

*BRIDGE*

Najua pia weeweeh
Usha fall! Usha fall,

Weeeweeeh usha fall unashindwa 
Kusemaaah....

Unashindwa kusemaaah..

*END*


Subscribe Our Newsletter

avatar
"If you are wondering who I am, ask those who know me, they will tell you better than me."

0 Comment

Post a Comment

Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!

Contact Form

Name

Email *

Message *

Article Top Ads

Parallax Ads

Article Center Ads

Article Bottom Ads