HOT BLAZING (Pan African Music Distributors)

Diamond Platnumz - Yatapita (Prod. Lizer)

Recent in Trending

recent

Best Seller Books

Diamond Platnumz - Yatapita (Prod. Lizer)


Yatapita Lyrics

Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo, nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau (Wote)
Na ntakununulia (Vyote)
Mawigi na simu (Vyote)
Ntakuzawadia (Vyote)
Pochi zenye thamani (Vyote)
Nawe uende waringishia (Vyote)
Utembee kwa uskani (Vyote)
Na vioo ukiwafungia (Vyote)
Aloiumba leo ni mungu na ndio
ataiumba kesho
Amini fungu letu laja haliko mbali Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso
Baby mitihani kawaida usijali, mnh!


Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji
Na juhudi naziongezea usichoke niombea
Molah atubariki zaidi
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura, mwenzako mimi I love you
Umeniteka medula niko fyetu
Akili haina ndala iko peku
Umenivurura, mwenzako mimi I love you


Ooh nivumilie
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo, nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
(Wote)
Na ntakununulia (Vyote)
Mikufu na simu (Vyote)
Ntakuzawadia (Vyote)
Pochi zenye thamani (Vyote)
Nawe uende waringishia (Vyote)
Utembee kwa uskani (Vyote)
Na vioo ukiwafungia (Vyote)
Ooh Baby
Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama
Liliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh!


Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana
Nyumba haijengwi kwa vita hasira Kwenye macho yako nikiyatazama
Naiona huruma yako mama
Changamoto maana kuna muda unakata tamaa
Nanoa kisu hatuli nyama
Na kodi lundo zatuandama
Riziki zama kwa zama
Ya kwetu kesho ya kwao ni jana
Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji mnh!
Na juhudi naziongezea usichoke niombea


Molah atubariki zaidi
Yatapita kipenzi changu
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie
Amini tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
(Wote)


Na ntakununulia (Vyote)
Mawigi na simu (Vyote)
Ntakuzawadia (Vyote)
Pochi zenye thamani (Vyote)
Na wewe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote)
Na vioo ukiwafungia (Vyote)
Mungu kakupa sura kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura
Mwenzako mimi I love you


Subscribe Our Newsletter

avatar
"If you are wondering who I am, ask those who know me, they will tell you better than me."

0 Comment

Post a Comment

Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!

Contact Form

Name

Email *

Message *

Article Top Ads

Parallax Ads

Article Center Ads

Article Bottom Ads