HOT BLAZING (Pan African Music Distributors)

Diamond Platnumz Atajwa Tuzo za MTV EMA 2024 Hot Blazing

Recent in Fashion

Best Seller Books

Diamond Platnumz Atajwa Tuzo za MTV EMA 2024 Hot Blazing

diamond platnumz atajwa tuzo za mtv ema

Diamond Platnumz Atajwa Tuzo za MTV EMA

Staa Wa Muziki kutoka Africa  Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania Tuzo za MTV Europe Music Awards Mtvema 2024 katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika akichuana vikali na Asakemusic, Ayrastarr (Nigeria), Tyla , Titom & Yuppe, DBN Gogo (Afrika Kusini).


Diamond ameteuliwa kwa mara nyingine kwenye MTV EMAs mwaka huu, baada ya 2023 Kushinda, akiwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki Aliyekuwa Akiwania Tuzo Hizo Ambapo Alikuwa Akishindana Na Wakali Wengine Wa Nigeria Kama Vile Burna Boy, Asake N.k

Zoezi La upigaji kura umeanza rasmi kwenye website ya mtvema.com ambapo zinatarajiwa kufanyika Novemba 10, 2024 Huko Mjini Manchester Nchini Uingereza

Lakini Pia Diamond Ndio Msanii wa kwanza Afrika kushinda tuzo 3 za MTV European Music Awards (EMAs). Aliwahi kushinda tuzo mbili (2) ya BEST AFRICAN ACT na BEST WORLDWIDE ACT (AFRICA/INDIA) ndani ya usiku mmoja mwaka kwenye 2015 MTV EMAs Na Nyingine Ya ‘Best African Act’ Mwaka Jana 2023

Subscribe Our Newsletter

avatar
"If you are wondering who I am, ask those who know me, they will tell you better than me."

0 Comment

Post a Comment

Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!

Contact Form

Name

Email *

Message *

Article Top Ads

Parallax Ads

Article Center Ads

Article Bottom Ads