HOT BLAZING (Pan African Music Distributors)

RASMI : Young Africans Wamtambulisha Kocha Mpya "Sead Ramovic" Hot Blazing

Recent in Trending

Best Seller Books

RASMI : Young Africans Wamtambulisha Kocha Mpya "Sead Ramovic" Hot Blazing

Yanga SC wamemtangaza rasmi Sead Ramovic (45) Raia wa Ujerumani kuwa Kocha wao Mkuu akija kuchukua mikoba ya Miguel Gamond ambaye amefutwa kazi na Yanga SC saa chache zilizopita.

Sead anajiunga na Yanga akitokea TS Galaxy ya Afrika Kusini aliyodumu nayo kwa miaka mitatu 2021-2024 kabla ya kujiunga na Yanga SC ya Tanzania. Sead hana uzoefu sana wa soka la Afrika lakini wasifu wake unaonesha amewahi kucheza soka katika vilabu vikubwa vya Ligi Kuu Ujerumani kama VFL Wolfsburg na Borussia Mongladbach.

Subscribe Our Newsletter

avatar
"If you are wondering who I am, ask those who know me, they will tell you better than me."

0 Comment

Post a Comment

Your thoughts and opinions matter. Leave a comment below DO NOT SPAM!

Contact Form

Name

Email *

Message *

Article Top Ads

Parallax Ads

Article Center Ads

Article Bottom Ads